Vitabu vya vichekesho vya kufatana vya shirika CPAID
Kufwatana na vitabu vya vichekesho (bandes dessinées) sita juu ya mamlaka ya uma katika nchi tofauti za Kiafrika, msanii wa vichekesho Didier Kassi alionyesha baada ya utafiti wa siku kaza wa CPAID juu ya maswala ya mamlaka ya uma, haki na maisha katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. (DRC). Kulingana na habari za kweli, vichekesho vinaonyesha ginsi watu wanaoishi karibu na Mbuga ya Kitaifa ya Virunga wanajitahidi kupata pesa, uharibifu wa mazao ya shamba zao na wanyama wa pori, vita vya silaha, na mabishano kati ya mamlaka tofauti kati ya walinzi wa mbuga na vikundi vya waasi.
Read more about CPAID.








This comic was created by Cartoon Movement, a publishing platform for high quality editorial cartoons and comics journalism from all over the globe.